- 119 viewsDuration: 1:43Chama cha Progressive kimezindua kampeni yake ya mashinani jijini Nairobi ili kuanzisha usajili wa wanachama kote nchini. Mwenyekiti wa chama hicho Evans Misati amesema kuwa chama hicho kitahakikisha kuna uakilishi kote katika wadi 85 na maeneo bunge 17 jijini Nairobi huku kikijiandaa kushindani viti vya kiuchaguzi. Chama hicho pia kimetoa wito kwa wawaniaji kutoka jamii zote wajiunde nacho wakikariri umuhimu wa umoja na ujumuishaji katika azma yake ya kubuni serikali ijayo kikiwa huru au kupitia miungano. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News