Skip to main content
Skip to main content

Amani yashamiri Chesogon

  • | Citizen TV
    228 views
    Duration: 3:40
    Kwa miaka mingi, eneo la Chesogon lililoko mpakani mwa kaunti za Pokot Magharibi na Elgeyo Marakwet lilijulikana kwa giza la utovu wa usalama, likikumbwa na visa vya mara kwa mara vya wizi wa mifugo. Hata hivyo, Leo taswira ni tofauti, ardhi iliyokuwa ikishuhudia migogoro sasa imefunikwa na mimea ya vyakul ,ishara tosha ya matumaini mapya, amani na mabadiliko ya kudumu.