Skip to main content
Skip to main content

‘Blackdiamond’ anavyowasaidia watoto wa shule

  • | BBC Swahili
    17,678 views
    Duration: 2:10
    Kijana maarufu kwa jina la ‘Blackdiamond’ Jiji Dar es salaam amejizolea umashuhuri kwa wakazi wa wilaya ya Kigamboni kwa shughuli yake ya kujitolea ya kuwavusha wanafunzi na wahitaji wengine barabara kwa zaidi ya miaka 10 sasa. Kijana huyu ambaye anasema hawajui wazazi wake wala ndugu zake alilelewa ufukweni tangu akiwa mdogo na alipoanza kujitambua Aliona hitaji la kufanya kazi hiyo baaada ya kuona mwanafunzi akigongwa. Anasema matamanio yake ni kuja kuwa mwanasiasa mkubwa siku za mbeleni lakini kwa sasa kazi yake imejaa changamoto lukuki ikiwa ni pamoja na kejeli na matusi toka kwa watumiaji wa barabara ambao humuona kama kikwazo na asiyefuata sheria na taratibu za usalama barabarani. - - #bbcswahilii #vijana #tanzania #elimu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw