Skip to main content
Skip to main content

Dira ya Kaunti: Wanafunzi katika shule ya mseto ya Githunguri wanakili matokeo bora ya KJSEA

  • | KBC Video
    174 views
    Duration: 3:04
    Wanafunzi katika shule ya mseto ya Githunguri kaunti ya Kiambu wamenakili matokeo bora katika mtihani wa kwanza wa kitaifa wa gredi ya tisa-KJSEA, licha ya changamoto zinazoshuhudiwa katika utekelezaji wa mfumo wa elimu ya umilisi-CBE. Taarifa kamili ni kwenye mseto wa magatuzi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive