- 15,159 viewsDuration: 39sTazama jinsi Dubu alivyomshambulia mlinzi wake wakati wa onesho la moja kwa moja nchini China na kusababisha taharuki kwa watazamaji. Hakuna aliyejeruhiwa, na hifadhi ilisema dubu huyo alijaribu kunyakua chakula kutoka kwa mhudumu huyo - - #bbcswahili #wanyama #China . Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw