- 2,892 viewsDuration: 2:32Watu kumi waliofariki kwenye ajali katika eneo la Kodada walikuwa wamehudhuria harusi kaunti ya Kakamega kabla ya kukumbuna na mauti . Hata hivyo, sasa kijiji cha Sichirai kaunti ya Kakamega, walikotoka jamaa na wanakwaya waliofariki kimegeuza sherehe kuwa mazishi. Bwana harusi Kefa Angaya sasa akisimulia jinsi alitangamana na wale walioangamia, ambao walihudhuria harusi yake siku ya Jumapili.