Skip to main content
Skip to main content

Je uchaguzi wa 2026 ni ushindani wa kisiasa?

  • | BBC Swahili
    68,856 views
    Duration: 2:18
    Inspekta Mkuu wa Polisi wa Uganda, Abas Byakagaba, amekiri kuamuru kukamatwa kwa wafuasi wa mgombea wa upinzani Bobi Wine katika mkutano wake ukidaiwa kuwa “maandamano.” Kauli hii imeibua swali: Je, Uganda inaelekea kwenye uchaguzi au msako wa kisiasa? Wakati huo huo, Rais Museveni anaendelea na kampeni bila vikwazo, ikionyesha nchi kama ina pande mbili tofauti Mwandishi wa BBC @sarangamartha anaelezea zaidi: #bbcswahili #foryou #uganda #bobiwine #siasa