Jeshi la Israel lajiandaa na uvamizi wa ardhini Rafah
Jeshi la Israel limesema leo linapeleka vitengo viwili vya vikosi vya akiba katika Ukanda wa Gaza. Hatua hiyo imechukuliwa wakati inajiandaa na uvamizi wa ardhini katika mji wa kusini mwa Rafah. Jeshi limesema vikosi hivyo vitafanya operesheni za ulinzi na mbinu lakini halikutoa maelezo zaidi kuhusu mpango wenyewe. Vita kati ya Israel na Hamas vilianza baada ya shambulizi la Oktoba 7, ambapo Hamas walivishitukiza vikosi vya ulinzi mbalimbali vya Israel na kuvamia jamii kadhaa, wanamgambo hao wa Palestina waliwauwa watu 1,200, wengi wao raia.
#Haifa #waelaldahdouh #hamzaaldahdouh #shirikalamwezimwekundu
#Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #mauaji #jeshi #israel #voa #voaswahili #mwandishi #aljazeera #maghazi
4 May 2024
- The country has witnessed several unplanned power outages in recent years.
4 May 2024
- The matatu rammed into the trailer, wrecking the entire front part of the vehicle.
4 May 2024
- The senior county official is currently under custody awaiting arraignment.
5 May 2024
- Medicines have been one of the most difficult post-Brexit trade issues in Northern Ireland.
5 May 2024
- Opposition parties were hoping to gain seats in the April 29 vote to enable them to challenge the UNIR party.
5 May 2024
- Floods were sent to shut down our small police post
5 May 2024
- Villages in Mai Mahiu have borne the heaviest brunt of the deluge.
5 May 2024
- Friday negotiations ended on a sour note that saw a bitter press briefing by the government side.
5 May 2024
- Veteran journalist Dorothy Kweyu seeks assistance to raise Sh123.3m to secure her son's freedom.
5 May 2024
- CS Kindiki has banned fishing, swimming, non-essential transport and other beach activities at the coats.
5 May 2024
- Social media users are extremely sensitive to it. Misuse can cause anxiety and fear.
5 May 2024
- 'Right to Education' trips off the tongue, but what does it really mean?
5 May 2024
- African populations are vulnerable to the impacts of climate change because of poverty.