Kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka amekashifu shughuli ya ubomozi uliopangwa wa makazi katika mtaa wa mabanda wa Muriguini kwenye eneo la Mukuru kaunti ya Nairobi pamoja na kuionya serikali dhidi ya kuwafurusha wakazi hao. Kalonzo, aliyewahutubia wanahabari katika makao makuu ya chama chake wakati huo huo, aliikosoa serikali kwa kukiuka agizo la mahakama dhidi ya ubomozi huo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive