Kampeni ya upanzi wa miti yaanza Nyamira

  • | Citizen TV
    146 views

    Wakazi wa Nyamira wamehimizwa kupanda miche ya miti asili na ile ya matunda kwenye sehemu za chemchemi na kwenye kingo za mito.