Skip to main content
Skip to main content

Kenya yatia saini mkataba wa kwanza wa umeme

  • | KBC Video
    512 views
    Duration: 1:48
    Kenya imetia saini mkataba wa mradi wa kwanza mkubwa wa usambazaji umeme wa ushirikiano wa sekta ya umma na ile ya kibinafsi unaozileta pamoja kampuni za usambazaji umeme za KETRACO, Africa50 na shirika la India Power Grid. Katibu katika wizara ya fedha Dr. Chris Kiptoo anasema mradi huo wa shilling billioni 40.4 unafadhiliwa na sekta ya kibinafsi, hatua ambayo imepunguza mzigo kwa fedha za umma huku ukiharakisha usambazaji umeme wa kutegemewa kulingana na mahitaji. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive