Skip to main content
Skip to main content

Kwanini serikali ya Tanzania imemshtaki Mange Kimambi? Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    75,416 views
    Duration: 28:10
    Serikali ya Tanzania imemfungulia mashtaka mwanaharakati Mange Kimambi ambaye anaishi Marekani. Hakuna maelezo zaidi katika tovuti rasmi ya mahakama nchini Tanzania kuhusu makosa yanayomkabili Mange, lakini hatua hii inakuja mwezi mmoja baada ya mwanasheria mkuu wa serikali Hamza Johari kumlaumu mwanaharakati huyo kwa kuchochea maandamano ya ghasia siku ya uchaguzi. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw #tanzania #mangekimambi #bbcswahili #bbcswahilileo