- 21,996 viewsDuration: 2:26Takribani maelfu ya Afrikaners ambao mara nyingi ni wazungu ambao wazee walitoka Ulaya wameanza mchakato mrefu wa kuomba hifadhi Marekani, ingawa takwimu rasmi hazijafahamika. Hata hivyo, serikali ya Afrika Kusini imekanusha madai ya “mauaji hayo” na kusema kwamba madai hayo ni ya uongo, na kwamba hakukuwa na mauaji au mateso yaliyolengwa kikabila katika kiwango hicho Hata hivyo, BBC imezungumza na wakulima, wakazi wa maeneo ya mashambani, na waathirika wa uhalifu nchini Afrika Kusini - - #bbcswahili #kimbari #maujiyakimbari #trump #wakulima #bbcafricaeye Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw