Skip to main content
Skip to main content

Mafunzo ya polisi Kiganjo

  • | Citizen TV
    2,670 views
    Duration: 9:31
    Inspekta jenerali wa Polisi Douglas Kanja anatarajiwa kuzindua rasmi masomo Kwa makurutu 5,023 wa Polisi chuoni Kiganjo Katika kaunti ya nyeri. idadi hii ikiwa ni sehemu ya makurutu 10,000 waliosajiliwa mwezi jana. Mwanahabari wetu Kamau Mwangi yuko chuoni Kiganjo akifuatilia taarifa hiyo