Skip to main content
Skip to main content

Mamia ya wakazi wa Langas jijini Eldoret wapewa chakula cha msaada

  • | Citizen TV
    346 views
    Duration: 2:47
    Umati mkubwa wa wakazi wa mtaa wa langas ulijitokeza kupokea chakula cha msaada katika shule ya msingi ya Langas jijini Eldoret kaunti ya Uasin Gishu........ Umati huo uliwashangaza wengi nursa rabsha itokee waking'ang'ania chakula hicho na kuchora taswira ya hali ngumu ya maisha.