Skip to main content
Skip to main content

Mikakati ya kuongeza boti za uvuvi yajadiliwa Mombasa

  • | Citizen TV
    500 views
    Duration: 7:49
    Kampuni ya viwanda vya uvuvi nchini imeandaa warsha inayowaleta pamoja wajenzi wa boti kutoka pwani, wavuvi pamoja taasisi za kifedha ili kujadili mikakati ya kuongeza boti za kuvua samaki na kuongeza pato la taifa katika kiwanda cha samaki cha serikali cha liwatoni