Skip to main content
Skip to main content

Nashukuru Mungu ndugu zangu saba wametoka wote

  • | BBC Swahili
    74,538 views
    Duration: 1:59
    ‘Tunamshukuru Mungu sana ,ndugu zangu wote saba wametoka’ ndugu wa miongoni mwa walioachiwa huru Leo hii, mwendesha mashitaka nchini Tanzania (DPP) amesema hana nia ya kuendelea kuwashitaki jumla ya washitakiwa 53, hivyo amewaondolea mashitaka waliokuwa wakikabiliwa ya uhaini na kula njama katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es salaam. - - #bbcswahili #tanzania #Maandamano #uchaguzimkuu2025 #vijana