- 414 viewsDuration: 3:43Rais William Ruto anatarajiwa kuwa mwenyeji wa kongamano la kwanza la wajumbe kutoka jamii za wachache na walioacahwa nyuma kimaendeleo Alhamisi hii kama sehemu ya maadhimisho ya siku ya kimataifa ya haki za walio wachache. Mkutano huo utaangazia haki na maslahi ya jamii ya walio wachache na walioachwa nyuma kimaendeleo kote nchini, na kuangazia ufanisi wa Kenya katika kukuza ujumuishi na usawa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive