- 7,030 viewsDuration: 9:18Tanzania imeadhimisha sikukuu ya uhuru wake kwa mitaa iliyosalia mahame. Maandamano ya amani yaliyopangwa kufanyika siku ya leo yalipigwa marufuku na mamlaka za serikali yakidaiwa kuwa hayakukidhi matakwa ya kisheria. Taarifa katika miji mikuu nchini Tanzania, zimeeleza kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vilishika doria katika maeneo mbalimbali ya nchi. #DiraYaDuniaTV