- 8,826 viewsDuration: 2:24Kila kukicha, dunia inatamba na mitindo mipya, na sasa Rwanda imepata urembo wa aina yake, wasichana wanabadilisha rangi za fizi zao kuwa nyeusi kupitia tatoo. - Kwa wengi, hii ni alama ya uzuri na kujiamini, na mwelekeo huu unakua kwa kasi miongoni mwa wanawake vijana. - - #bbcswahili #urembo #tatoo #rwanda Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw