Skip to main content
Skip to main content

“Tunatoa wito mamlaka husika Tanzania kukabidhi miili ya marehemu kwa familia zao”

  • | BBC Swahili
    191,839 views
    Duration: 2:10
    Tunatoa wito kwa mamlaka husika kukabidhi mili ya marehemu kwa familia zao haraka iwezekanavyo, kuwaachia huru wafungwa wote wa kisiasa na kuhakikisha waliokamatwa wanapata msaada wa kisheria na matibabu’’ - Balozi 16 za nchi za magharibi zimetoa wito kwa Serikali ya Tanzania kufuatia ripoti za ukiukwaji mkubwa na wa mfumo wa haki za binadamu baada ya uchaguzi mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025. - "Nje huko wanakaa ooh Tanzania ifanye hivi, ifanye vile… (wao kina nani) who are you? Wanadhani wao bado ni masters (watawala) wetu?" - Majuzi akiwahutubia wazee wa Dar es Salaam, Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alisema kuwa baadhi ya mashinikizo ya kimataifa yanatokana na tamaa ya kutaka kufaidika na rasilimali za Tanzania, hususan madini adimu ambayo nchi hiyo ya Afrika Mashariki inamiliki. - - - #Tanzania #maandamano #foryou #uchaguzi #BBCSwahili