Uharibifu wa Farasi mjini London

  • | BBC Swahili
    731 views
    Tazama namna Farasi watano walivyofanya uharibifu ikiwemo kusababisha majeruhi mjini London baada ya kuwaangusha waliokuwa wamewapanda na kutorokea katikati ya barabara za mji wa London. Wakati wa tukio hilo Farasi hao wanaaminika kugongana na magari kadhaa walipokuwa wakikimbia. Tazama #bbcswahili #uingereza #wanyama Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw