- 9,912 viewsDuration: 2:13Ukatili wa kidijitali ni mojawapo ya aina za unyanyasaji zinazokua kwa kasi zaidi na unawasukuma wanawake kujiondoa mtandaoni. Kuanzia matusi na ufuatiliaji hadi video bandia (deepfakes) na kufichuliwa kwa taarifa binafsi (doxing), mamilioni ya wanawake na wasichana hukumbana na unyanyasaji kila mwaka.Shirika la UN limezindua kampeni ya kumaliza ukatili wa kidijitali dhidi ya wanawake na wasichana wote, ambayo itadumu hadi Desemba 10. Mwanahabari Mariam Mjahid na maelezo ya namna wanawake wanavyoweza kujilinda na ukatili mitandaoni - - #bbcswahili #GBV #unyanyasajimtandaoni #wanawake Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw