16 Dec 2025 11:39 am | Citizen TV 2,529 views Duration: 1:29 Viongozi wanaounga mkono chama tawala cha UDA kutoka kaunti ya Nyeri wamemtaka kinara wa DCP Rigathi Gachagua kukoma kushurutisha wakazi wa eneo la kati kujiunga na chama chake.