Skip to main content
Skip to main content

Wadau wa elimu watoa wito wa kutambuliwa kwa walimu

  • | KBC Video
    120 views
    Duration: 1:23
    Wadau wa elimu wamefufua miito yao wakitaka usaidizi pamoja na kutambuliwa kwa walimu, wakielezea umuhimu wao katika sekta ya elimu, kuwakuza wanafunzi pamoja na kuendeleza ustawi wa kitaifa. Mwito huo ulijiri wakati wa sherehe ya utoaji wa tuzo za walimu za Tufunzeni za mwaka 2025. Ni hafla iliyowaleta pamoja wataalamu wa elimu kutoka maeneo mbalimbali nchini kusherehekea ubora katika ufundishaji na ujifunzaji. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive