Wafanya biashara ndogo ndogo na za kadri wamepokea mafunzo chini ya mitaala 12 yanayokusudiwa kuimarisha biashara, uzalishaji na ushindani. Katibu wa biashara ndogo ndogo na za kadri, Susan Mang’eni, amesema mpango huo unaziwezesha biashara kupata fursa mpya na kukua na vile vile kuimarisha uchumi wa nchi hii. Habari zaidi ni kwenye mkusanyiko ufuatano wa habari za biashara.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive