16 Dec 2025 10:55 am | Citizen TV 128 views Duration: 47s Gavana wa Kaunti ya Machakos Wavinya Ndeti amesisitiza kujitolea kwa serikali ya kaunti katika uwajibikaji, utendakazi, na kuboresha mchakato wa utoaji wa huduma kwa umma.