- 246 viewsDuration: 3:13Kutokana na mabadiliko ya tabia nchi, wakulima eneo la Saghalla kaunti ya Taita Taveta wameanza kukumbatia kilimo cha Makonge. Wakulima wakisema kilimo hicho kimewaondolea hasara inayotokana na kiangazi ambapo sasa ukuzaji wa mahindi umekuwa vigumu katika siku za hivi karibuni