16 Dec 2025 11:24 am | Citizen TV 101 views Duration: 1:41 Wanawake wenye ulemavu katika kaunti ya Kwale wameitaka serikali ya kaunti na ya kitaifa kuhakikisha wanajumuishwa kwenye sekta ya afya kwa kuwaajiri baadhi yao kama wahudumu wa afya nyanjani