16 Dec 2025 11:37 am | Citizen TV 220 views Duration: 1:38 Wasanii wa Kaunti ya Trans Nzoia chini ya muungano wa Transnzoia Creative Association wamelalamikia kutengwa na viongozi wa kaunti hiyo katika miradi ya uwezeshaji kiuchumi na hafla za umma.