Skip to main content
Skip to main content

Akili Mnemba kujumuishwa kwenye masomo shuleni

  • | KBC Video
    32 views
    Duration: 6:26
    Juhudi za kujumuisha zana za kidijitali na uvumbuzi kwenye utekelezaji wa mfumo wa elimu ya umilisi zimeshika kasi. Hafla iliyoandaliwa kwenye taasisi ya ustawishaji mtaala jijini Nairobi ilidhamiriwa kuangazia jinsi mafunzo ya uundaji roboti na ubunifu wa programu za kidijitali yalivyoibuka kuwa nguzo muhimu ya mfumo huo mpya wa elimu. Lengo ni kuwapa wanafunzi ujuzi wa karne ya 21 na kutathmini uwezo wao kwa kuimarisha elimu ya kidijitali kama msingi wa fursa za kimaisha, utangamano wa kijamii na ufanisi wa jamii Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive