Naibu Rais, Profesa. Kithure Kindiki, ametoa wito kwa Wakenya kudumisha umoja hata wakati viongozi wao wa kisiasa wanapoonekana kuchochea mgawanyiko. Akigusia matamshi ya Gavana wa Nyeri, Mutahi Kahiga, kuhusu kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, Kindiki pia aliwaonya wanasiasa dhidi ya kutoa matamshi yanayoweza kuchochea chuki za kikabila.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive