- 3,096 viewsDuration: 4:04Gavana wa kaunti ya Nyeri Mutahi Kahiga ametakiwa kufika mbele ya tume ya kitaifa ya uwiano na mshikamano kufafanua kuhusu matamshi anayodaiwa kutoa ya kudhalilisha kifo cha aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga. Matamshi hayo yaliibua hisia mseto kote nchini. Kahiga pia amepokonywa wadhifa wa naibu mwenyekiti wa baraza la magavana, saa chache baada yake kujiuzulu na kuomba radhi kwa matanmshi hayo. Giverson Maina anatuarifu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive