11 Sep 2025 10:53 am | Citizen TV 801 views Duration: 1:41 Wahudumu wa bodaboda mjini nanyuki wanaomiliki pikipiki zinazotumia stima wamelalamikia kulaghaiwa na mwanabiashara mmoja aliyewauzia pikipiki hizi kwa njia ya mkopo ingawaje alichokiahidi hakitimiliki.