- 8,113 viewsDuration: 3:57Miaka mitatu ya utawala wa Rais William Ruto imekumbwa na changamoto si haba za kisiasa, akilazimika kumpiga kalamu naibu wake Rigathi Gachagua na kubadilisha baraza lake la mawaziri mara tatu ndani ya miaka mitatu. Je, kushirikisha wandani wa kinara wa ODM Raila Odinga kwenye baraza lake la mawaziri kutampa afueni?