- 1,039 viewsDuration: 26:21Rais aliteua jopo la wataalamu 14 kushughulikia ufisadi EACC inasema ODPP imeondoa kesi 18 tangu mwaka wa 2013 Magavana 11 wa zamani wanachunguzwa na tume ya EACC Magavana 5 wa sasa wanachunguzwa kwa ufisadi EACC inamlaumu mkurugenzi wa mashtaka kwa kulemaza kesi