Skip to main content
Skip to main content

Moto wateketeza eneo la kuuzia mbao Diani kaunti ya Kwale

  • | Citizen TV
    806 views
    Duration: 1:48
    Moto mkubwa umeteketeza eneo la kuuzia mbao katika eneo la Milenium huko Diani Kaunti ya Kwale na kusababisha hasara kubwa usiku wa kuamkia leo.