Skip to main content
Skip to main content

Kura ya maoni ilifanywa na kampuni ya utafiti ya TIFA

  • | Citizen TV
    4,577 views
    Duration: 1:22
    Utafiti wa kampuni ya kura ya maoni ya TIFA unaonyesha kuwa wakenya wengi wanasema taifa linaelekea katika mkondo mbaya. kulingana na utafiti huo uliofanywa kati ya Agosti 23 na Septemba 3, mwaka huu.