Skip to main content
Skip to main content

Jamii yahamasishwa kuhusu kuripoti dhuluma Maralal

  • | Citizen TV
    264 views
    Duration: 3:10
    Swala la wanaume kutoripoti visa vya kudhulumiwa kwenye ndoa, limetajwa kuchangia ongezeko ya visa hivyo katika jamii za wafugaji. Wadau wakiwataka wanaume kujitokeza na kuzungumzia madhila yanayowafika.