- 217 viewsDuration: 1:50Kutokana na ongezeko la wizi wa punda inayochangiwa na biashara haramu ya ngozi na nyama ya punda katika kaunti ya Turkana, shirika moja limeandaa kongamano la washikadau kutoka asasi za kiusalama na kijamii kujadili mbinu mpya ya kukabiliana na kero hilo.