11 Sep 2025 1:42 pm | Citizen TV 239 views Duration: 1:36 Mashirika ya kutetea haki za binadamu sasa wanataka shirika la uhifadhali wanyama pori KWS kufidia familia waliopoteza maisha yao kupitia mashambulizi ya wanyama wao katika kaunti ya Tana River.