- 3,654 viewsDuration: 2:18Wakili mathew kyalo mbobu alipigwa risasi mara nane na kuuawa aliposhambuliwa katika barabara ya magadi siku ya jumanne. Katika upasuaji wa maiti uliofanywa katika makafani ya lee, risasi mbili zilipatikana mwilini, moja ikiwa imepenya na kukwama kwenye uti wake wa mgongo.