Skip to main content
Skip to main content

TIFA: Wakenya walia hali ya uchumi

  • | Citizen TV
    352 views
    Duration: 2:06
    Utafiti wa kampuni ya TIFA unaonyesha kuwa wakenya wengi wanahofia kuwa taifa haliendeshwi vema. Utafiti huo uliofanywa kati ya tarehe 23 Agosti na tarehe 3 Septemba mwaka huu, unaashiria kuwa wakenya hawajaridhishwa na uongozi wa taifa huku hali ya uchumi na gharama ya juu ya Maisha zikiendelea kuwa mzigo mkubwa.