- 602 viewsDuration: 1:29Mashirika ya Koffi Annan Foundation, Amina Live, na Magharib Centre yameanzisha upya mchakato wa kuleta mazungumzo kati ya pande zinazopigana nchini Sudan, kwa kuwaleta pamoja Generali Abdel Fattah al-Burhan na Generali Mohamed Hamdan Hemedti wa RSF