- 8,531 viewsDuration: 33sPolisi huko Utah Marekani wametoa picha za mshukiwa mkuu wa mauaji ya mwanaharakati wa kihafidhina na mshirika wa karibu wa rais Donald Trump Charlie Kirk aliyeuawa Jumatano. Polisi wameshapata bunduki iliyofyatua risasi iliyomuua Kirk na sasa wametangaza dola laki moja zawadi ya mtu atakayesaidia kukamtwa kwa mshukiwa mkuu. #charliekirk #donaldjtrump #bbcswahili #tanzania