- 3,222 viewsDuration: 2:57Rais Yoweri Museveni, ameteuliwa rasmi na Tume ya Uchaguzi ya Uganda kugombea urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Januari mwaka ujao. Kiongozi huyo ambaye ameingoza Uganda kwa karibu miongo minne, sasa atakuwa akiwinda kuchaguliwa kwa muhula wa saba madarakani. #dirayaduniatv