30 Sep 2025 10:45 am | Citizen TV 726 views Duration: 1:46 Seneta wa Nandi Samson Cherargei ametaka idara ya ujasusi DCI Na wizara ya mambo ya nchi za kigeni kufanya uchunguzi zaidi ya vifo tatanishi vilivyotokea katika mataifa za kigeni ili familia zipate haki kwa wapendwa wao.