Skip to main content
Skip to main content

Maandamano ya Gen Z yaendelea Madagascar, Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    24,460 views
    Duration: 28:10
    Polisi nchini Madagascar wamerusha gesi ya kutoa machozi kuwatawanya vijana waandamanaji waliokuwa wamekusanyika kwa siku ya 12 wakitaka kujiuzulu kwa Rais Andry Rajoelina. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw