Skip to main content
Skip to main content

Chui na Paka wazua tafrani mgahawani

  • | BBC Swahili
    12,737 views
    Duration: 30s
    Tazama Mwanaume huyu alivyoshtuka na kukimbia baada ya chui anayemkimbiza paka hadi ndani ya mgahawa alipokuwa ameumzika akipata huduma huko nchini India. - Tukio hilo lilitokea katika mji wa milimani wa Nilgiri, jimboni Tamil Nadu, ambako chui wamekuwa wakionekana mara kwa mara hivi karibuni. - Kwa bahati nzuri, paka na mwanaume huyo walinusurika na hawakupata majeraha. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw