- 5,952 viewsDuration: 26sDereva mmoja nchini Uingereza amepigwa marufuku kuendesha kwa kipindi cha miaka minane, na kuhukumiwa kifungo cha miezi 17 gerezani, baada ya kusababisha ajali kwa kuendesha kwa kasi. Video ya kamera ya gari (dashcam) iliyorekodiwa tarehe 19.05.2023 na kutolewa na Polisi wa Thames Valley, ilionesha wakati Darren Marshall akipita taa nyekundu kwenye mzunguko na kuligonga gari lingine kwa kasi kubwa. Ajali hiyo ilisababisha majeraha makubwa kwa wahusika. #bbcswahili #uingereza #ajali Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw